Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pamba Jiji wamvuta Petter Mwalyanzi

Peter Mwaliyanzi.jpeg Petter Mwalyanzi

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Pamba inayoshiriki Championship imemsajili kiungo Petter Mwalyanzi kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Ihefu.

Klabu ya Pamba inayoshiriki Championship imemsajili kiungo Petter Mwalyanzi kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Ihefu. Ihefu wana mipango ya kurudi Ligi Kuu msimu ujao na wanajipanga kufanya usajili mzuri ili kutimiza azma yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live