Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pamba Jiji moto umeanza kuwaka, Viongozi waanza kutemwa mmoja mmoja

Mtanda Pambaaa Pamba Jiji moto umeanza kuwaka, Viongozi waanza kutemwa mmoja mmoja

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa za ndani zinadai kuwa klabu ya Pamba imewaondoa katika safu ya uongozi viongozi waliopambana na timu hiyo miaka zaidi ya 23 na kuwaweka kando wale wote wasio watumishi wa jiji,kasoro tu mwenyekiti Hagila.

Viongozi waliobaki wote akiwemo Afisa Habari Moses william,CEO Alhaji Majogoro,Na miongoni mwa watu aliyepambania klabu hiyo miaka yote Aleem Alibahi .

Najiuliza kwanini leo jiji wameamua kufanya hivi kwa kuwaondoa viongozi ghafla hivi?

Jiji walipochukua timu wanajua kabisa Kuna watu wamesota na hii timu almost miaka 20 mpaka leo .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live