Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pamba FC yakabidhiwa kwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Pamba FC.jpeg Kikosi cha Pamba FC

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Pamba FC umethibitisha kuwa kuanzia sasa klabu hiyo itakuwa chini ya umiliki wa halmashauri ya jiji la Mwanza.

Uongozi wa klabu ya Pamba FC umethibitisha kuwa kuanzia sasa klabu hiyo itakuwa chini ya umiliki wa halmashauri ya jiji la Mwanza. Hii inaenda kuongeza timu zinazomilikiwa na halmashauri nchini kama vile Mbeya City, KMC, Namungo, Geita Gold na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live