Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pamba FC, Mbeya Kwanza hakuna mbabe Mtwara

Pamba Jiji Vs Mbeya Kwanza.jpeg Pamba FC, Mbeya Kwanza hakuna mbabe Mtwara

Sat, 28 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Mbeya Kwanza jana wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pamba FC ya Mwanza katika mchezo wa Ligi ya NBC Championship Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.

Wenyeji, Mbeya Kwanza jana wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pamba FC ya Mwanza katika mchezo wa Ligi ya NBC Championship Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara. Kwa matokeo hayo, Mbeya Kwanza inafikisha pointi 17 baad aya kucheza mechi nane na kuendelea kuongoza Ligi ya NBC Championship ikifuatiwa na Ken Gold ya Mbeya pia yenye pointi 16 za mechi saba na Pamba FC pointi 15 mechi nane pia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live