Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Palmer mtoto mdogo anaendelea kuwafundisha wenzake namna ya kuishi

Cole Palmer Cole Cole Palmer.

Tue, 27 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msimu uliopita marastaa Madueke alionekana akin'gan'gania kupiga Penalty huku Bwana mdogo Cole Palmer akimuomba mpira Madueke akigoma kabla ya Callegher kuingiria na kumnyanganya Madueke na kumpa Palmer apige.

Watu Wengi na Mashabiki wa Madueke wakiamini Cole Palmer ni mbaguzi anapenda kufanikiwa pekee yake kama kawaida ya watu Weusi hawana jambo dogo.

Leo kwenye Mechi ya Ligi dhidi ya Wolves Cole Palmer amenpasia Madueke jumla ya magoli 03 Hat Trick. kwenye ushindi walioupata Chelsea wa Magoli 6-2. Bwana mdogo anaendelea kutoa somo kua yeye alitokea Manchester City kwa ruhusa ya Kocha alimpandisha Pep Gadiola hawezi kulingana kiwango na Madueke.

Halafu Cole Palmer ni mdhungu Pure Raia wa England hivyo anatamba Pande zake na soka analijua ukiweka Jude Bellingham na Cole Palmer Mimi naondoka na Palmer Mechi ili iwe rahisi kwa Chelsea Cole Palmer aamke Vizuri Reece Jem's awepo pembeni halafu Enzo Fernandes atulie Hawa wachezaji wenye Asili ya Africa wanacheza kutafuta sifa sana wanajikuta wanafanya mechi inakua ngumu wanawaza umarufu sana kuliko kufanya kazi nzuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live