Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paka amtaja Bingwa wa Fainali ya EURO, England vs Hispania

Paka Atabiri Paka maarufu kwenye utabiri wa mechi za mpira wa miguu ‘ Nimbus ‘

Sun, 14 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Paka maarufu kwenye utabiri wa mechi za mpira wa miguu ‘ Nimbus ‘ ametabiri kuwa timu ya Taifa ya Uingereza itashinda taji la EURO hii leo kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Hispania

Nimbus amekuwa akitabiri mara kadhaa na tabiri zake kutokea kweli , ingawa mara kadhaa amekuwa akikosea , kinachowapa watu moyo ni kwamba kwenye EURO akitabiri England inaashinda mara zote huwa hivyo

Tabiri zake tatu kwa England zote amepatia

1.England vs Netherlands [ England ] Alipatia 2.Uswizi vs England [ England ] Alipatia 3.England vs Slovakia [ England] Alipatia

Tabiri zake tatu kwa Spain moja amekosa

1.Spain vs France [ France ] Alikosea 2.Spain vs Geogia [ Spain ] Alipatia 3.Spain vs Germany [ Spain ] Alipatia

Chanzo: www.tanzaniaweb.live