Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacome atemwa Ivory Coast AFCON 2023

Pacome 1 Goal Kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo fundi wa Yanga, Pacome Zouzoua "zidane wa Bongo" ameachwa kwenye kikosi cha Mwisho cha Ivory Coast kitakacho shiriki michuano ya Africa Cup of nations.

Kiungo fundi wa Yanga, Pacome Zouzoua "zidane wa Bongo" ameachwa kwenye kikosi cha Mwisho cha Ivory Coast kitakacho shiriki michuano ya Africa Cup of nations. Ikumbukwe nyota huyo alitajwa kwenye kikosi cha awali cha Tembo hao kilicho jaa mastar kibao wa Ulaya lakini Mwisho wa siku hakufanikiwa kupita kwenye mchujo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: