Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacome anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Yanga

Pacome Zouzoua November Player Pacome Zouzoua

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo fundi wa Klabu ya Yanga,Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast ametwaa tuzo ya Mchezaji bora wa Mashabiki wa Klabu ya Yanga kwa mwezi November.

Kiungo fundi wa Klabu ya Yanga,Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast ametwaa tuzo ya Mchezaji bora wa Mashabiki wa Klabu ya Yanga kwa mwezi November. Pacome anabeba Tuzo hiyo akiwapiku nyota wenzake wa Yanga Khalid Aucho na Clement Mzize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: