Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacome anajua mpaka anajua tena - Hans Rafael

Pacome 0008 Pacome Zouzoua.

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa masuala ya soka kutoka Wasafi Media, Hans Rafael amemwagia maua yake kiungo mshambuliaji wa Yanga, pacome Peodoh Zouzoua raia wa Ivory Coast kutokana na ufundi wake ndani ya uwanja.

Pacome ambaye alikuwa majeruhi kwa takribani mwezi na nusu, amerejea uwanjani hivi karibuni na amekuwa na mchango mkubwa kwa klabu yake ya Yanga ambayo imetwaa ubingwa kwa mara ya 30.

"Pacome tumpe maua yake. This dude is a real footballer. Anapoteza mpira pale Anapo amuwa kumpasia mchezaji mwenzake, kama Siyo hivyo huchukui mali mguuni. Pacome ni technically gifted,ana uwezo mkubwa wa kuficha mali na kufanya mambo yatoke.

"Nyakati Kama hizi ambazo ametoka injury nilihisi atakuwa na trauma, lakini Nop! Kijana Muda wote analitaka ball. To be honest Pacome anaufanya mpira wa miguu kuwa mtamu kwa watazamaji," amesema Hans Rafael.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live