Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacome akwea pipa kuwafuata Mamelodi

Pacome A0003 Pacome akwea pipa kuwafuata Mamelodi

Tue, 2 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi Cha Wananchi Yanga SC mapema leo kimeanza safari ya kwenda Afrika Kusini kuwavaa Mamelodi Sundowns kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Khalid Aucho na Pacome naye wapo kwenye huo msafara.

Moto unaenda kuwaka huko South Africa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live