Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacome Zouzoua anavyowazuzua Ligi ya Mabingwa

Pacome X Al Ahly Kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua amepita kwenye misingi ya soka nchini Croatia na hata kucheza soka muda mfupi sana barani Ulaya kwenye nchi ya Latvia.

Kwa upande wa Afrika ni kama anajipambanua na kuonesha utofuati wake kwenye ngazi kubwa kirahisi hivi.

Lakini kuna njia ukizipita ni wewe ndie utakaefaidi matunda yake. Performance za MVP wa Ivory Coast msimu uliopita ndio tunaziona kwenye ligi ya mabingwa, Ilikuwa ni siku nyingine ya kawaida tu kwake akiwa ofisini pale katika Dimba la Baba Yara dhidi ya Medeama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: