Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacome: Sio makombe tu, Wananchi watapata burudani pia

Pacome Namba Chafu Pacome: Sio makombe tu, Wananchi watapata burudani pia

Thu, 15 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua amesema amejipanga kivingine kwani ana kiu ya kufanya makubwa zaidi akiwa na Yanga hususani katika mechi za kimataifa atakazoshiriki kwa msimu wa tatu mfululizo moja akiwa na Asec.

“Kila mchezaji wa kikosi chetu hataki kufanya makosa anapopewa nafasi kwani wote ni bora, jambo ambalo linaongeza ushindani mkubwa zaidi

“Sioni kama kuna jambo litatushinda msimu ujao, kwani mipango yetu sio kubeba makombe tu kama tulivyoanza na Ngao ya Jamii tuliyoikosa mwaka jana, pia kuwafurahisha mashabiki na viongozi kwa ujumla.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live