Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacome, Saido nani mkupiku mwenzake leo?

Saido Pacomesss Pacome, Saido nani mkupiku mwenzake leo?

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Yanga na timu ya Taifa ya Ivory Coast Pacome Zouzoua na Saido Ntibazonkiza wa Simba mchango wao upo sawa katika Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL msimu huu.

Katika mechi 6 walizocheza hadi sasa kila mmoja amechangia magoli manne katika timu yake.

Pacome Goli 3 Assist 1

Saido Goli 2 Assist 2

Ratiba Kamili:

Mamelodi v Yanga

April 5 Saa 3 Usiku

Al Ahly vs Simba

April 5 Saa 5 Usiku

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: