Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacome, Aucho, Mzize wachuana Mchezaji Bora wa Mwezi

Pacome Aucho Mzize Pacome, Aucho, Mzize wachuana Mchezaji Bora wa Mwezi

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC imewaorodhesha Wachezaji watatu wanaowania tuzo ya Mchezaji bora kwa mwezi Novemba (NIC Player of the Month).

Wachezaji waliongia kwenye kinyang'anyiro hicho ni;

Khalid Aucho.

Pacome ZouZoua.

Clement Mzize.

Mshindi wa tuzo hiyo atapatikana baada ya kupigiwa kura na mashabiki kupitia application ya Yanga SC.

Tuzo hizo zimeanza kutolewa mwezi Oktoba chini ya udhamini wa NIC, ambapo mshindi alikuwa Stephane Aziz Ki.

Karata yako unampa mchezaji gani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live