Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pacha wa Aziz Ki anakichafua balaa huko Ulaya

Konate Aziz Kiiii Pacha wa Aziz Ki anakichafua balaa huko Ulaya

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji aliyekuwa pacha wa Aziz Ki pale ASEC Mimosas, Karim Konate raia wa Ivory Coast ameendelea kuwa mwiba katika Ligi Kuu ya Australia tangu ajiunge na miamba ya soka nchini humo, RB Salzburg.

Konate mwenye umri wa miaka (20) alitajwa kuwa angesajiliwa na Yanga msimu wa mwaka 2022/2023 lakini aliamua kutimkia Ulaya huku Yanga wakifanikiwa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki ambaye pia amekuwa msaada mkubwa kwa klabu hiyo.

Aziz Ki ndio alikua tegemezi la timu ya ASEC kuliko mchezaji yeyote kwenye kikosi hicho.

Takwimu za Konate msimu huu;

◉ 24 - Goals scored

◉ 11 - Assists

◉ 35 - Goal contributions

◉ Austria Bundesliga top scorer

◉ Winner | AFCON Ivory Coast.

Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said alifanya kazi kubwa kwani timu nyingi Ulaya zilihitaji huduma ya Stephanie Aziz Ki lakini kwa jitihada zake alifanikiwa kunasa saini ya fundi huyo anayekiwasha kwa sasa Jangwani akiwa na mabao 15 na assist 8 kwenye Ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live