Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pa Omar Jobe bado yupo sana Msimbazi

Pa Omar Jobe Bado Yupo Sana Msimbazi Pa Omar Jobe bado yupo sana Msimbazi

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema mshambuliaji wao Pa Omar Jobe ana mkataba mrefu hivyo ni ngumu kuuvunja.

Mangungu amefunguka hayo kupitia kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM.

“Mkataba wa Jobe ni mrefu kidogo sidhani kama tutaweza kuuvunja, kwanza sio mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri na nilimtembelea, tumezungumza na tutaendelea na mchakato wa kuhimalisha kiwango chake.” — Murtaza Mangungu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live