Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pa Omar Jobe aigomea Simba SC

Pa Omar Jobe Xxx.jpeg Pa Omar Jobe aigomea Simba SC

Tue, 11 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Simba, Pa Omar Jobe ameusisitizia Uongozi wa klabu ya Simba kuwa bila kulipwa malipo yake ya kimkataba hataondoka klabuni hapo kuelekea msimu ujao wa 2024/25.

Simba ilishampa taarifa Pa Omar Jobe kuwa hayupo kwenye mipango ya klabu kuelekea msimu ujao na atavunjiwa mkataba wake ambapo alisaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi.

Jobe alishapokea taarifa hiyo na amekubali lakini anahitaji kulipwa stahiki zake zote za kimkataba ili kuondoka haraka sana akatafute changamoto sehemu nyingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live