Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pa Omar Jobe, Babacar Sarr wanyoa dred zao

Pa Omar Jobe, Babacar Sarr Wanyoa Dred Zao.jpeg Pa Omar Jobe, Babacar Sarr wanyoa dred zao

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mastaa wa Simba, Pa Omar Jobe na Babacar Sarr wameamua kukata dred zao na sasa wamekuwa na mwonekano mpya.

Nyota hao wawili wote wamesajiliwa katika dirisha dogo lililopita na wameingia moja kwa moja kwenye kikosi na tayari wametoa msaada.

Pa na Babacar wote wana goli mojamoja ndani ya NBC Premier Ligue. Pa ni mshambuliaji, Babacar yeye ni kiungo mkabaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live