Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG yapiga mtu wiki, Mbappe atupia 5

Mbappe Nsmsms Kylian Mbappe

Tue, 24 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Paris Saint German imeishushia kipondo cha , mabao 7-0 klabu ya Pays de Cassel katika mchezo wa kombe la Ufaransa.

Kylian Mbappé alifunga magoli matano (5️⃣) katika mchezo huo na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya PSG kufunga idadi hiyo ya magoli katika mechi moja.

FT: Pays de Cassel 0-7 PSG

⚽⚽⚽⚽⚽ Mbappé 29' 34' 40' 56' 79'

⚽ Neymar Jr 33'

⚽ Soler 64'

Chanzo: www.tanzaniaweb.live