Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG yamwaga mkwanja mnono kumnasa Osmhen

Osimhen 1280x720.jpeg PSG yamwaga mkwanja mnono kumnasa Osmhen

Sun, 23 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Paris St-Germain wanaandaa dau la pauni milioni 133 kwa mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen na wataingia kwenye nafasi nzuri mbele ya Chelsea, kwa ajili ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Football Insider)

Paris St-Germain wanaandaa dau la pauni milioni 133 kwa mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen na wataingia kwenye nafasi nzuri mbele ya Chelsea, kwa ajili ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Football Insider) Nyota huyo amekuwa akitazamwa na Vilabu vingi kulilingana na namna kiwango chake kimezidi kuwa bora zaidi kila iitwapo leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live