Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG yamng'ang'ania Mbappe

Mbappe Nahodha Mpya Ufaransa Amrithi Lloris PSG yamng'ang'ania Mbappe

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya PSG haitamruhusu mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe mwenye umrui wa miaka 24 kuondoka klabuni hapo katika majira ya joto.

Klabu ya PSG haitamruhusu mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe mwenye umrui wa miaka 24 kuondoka klabuni hapo katika majira ya joto. Mshambuliaji huyo ataingia katika msimu wake wa mwisho wa mkataba na PSG majira ya joto, hata hivyo, ripoti inaeleza kuwa Les Parisiens hawatamruhusu nahodha wao kuondoka, haijalishi watapokea dau kubwa kiasi gani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: