Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG wataka kumrejesha Neymar Barcelona wapewe Dembele

Dsc Dembele Srs PSG wataka kumrejesha Neymar Barcelona wapewe Dembele

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Paris Saint-Germain 'PSG' ya Ufaransa iapo tayari kumtoa nyota wao, Neymar da Silva Santos Júnior 'Neymar Jr' kwenda Barcelona FC ya Hisoania ili waweze kufanikisha dili la kumsajili Masour Ousmane Dembélé raia wa Ufaransa kujiunga na miamba hiyo.

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali nchini Ufaransa zinaeleza kuwa, mpaka sasa uongozi wa Barcelona haujaonesha nia ya kutaka kumrejesha nyota wake huyo wa zamani wala kukubaliana na ofa hiyo iliyoletwa mezani na Paris Saint-Germain ili kumwachia Dembele.

Ikumbukwe kuwa, Neymar amewahi kuitumikia Barca kwa mafanikio makubwa tangu mwaka 2013 mpaka 2017 kabla ya kutimkia PSG ambayo anaitumikia mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live