Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG wamtengea dau nono Marcus Rashford

GIkeAOwXEAABTyJ.jpeg Marcus Rashford

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matajiri wa Ufaransa, Klabu ya PSG wanaandaa kitita cha Pauni Milioni 75 ili kumshawishi winga wa Man United, Marcus Rashford kujiunga nao dirisha lijalo.

Matajiri wa Ufaransa, Klabu ya PSG wanaandaa kitita cha Pauni Milioni 75 ili kumshawishi winga wa Man United, Marcus Rashford kujiunga nao dirisha lijalo. PSG wanasaka mbadala wa Kylian Mbappe ambae amegoma kuongeza Mkataba na matajiri hao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live