Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG wamtaka Fred kwa Bilioni 84

Skysports Fred Man Utd 5673671 Fred

Fri, 23 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa za ndani zinaeleza Klabu ya PSG ipo tayari kutoa Paundi Milioni 30 kwa ajili ya Kiungo wa Manchester United Fred.

Taarifa za ndani zinaeleza Klabu ya PSG ipo tayari kutoa Paundi Milioni 30 kwa ajili ya Kiungo wa Manchester United Fred. Paris Saint-Germain (PSG) imehusishwa na Mbrazili huyo ambaye jina lake kamili ni Frederico Santos licha ya kuwa amesaini nyongeza ya Mkataba wa Mwaka mmoja kuendelea kuichezea Man United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live