Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG walitema mazima dili la Rashford

Rashford Picha Data Marcus Rashford

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Paris St-Germain ya Ufaransa wameamua kupiga breki nia yao ya kutaka kumnunua mshambulliaji wa Manchester United, Marcus Rashford huku mipango yao ikiwa ni kufuatilia malengo mengine ya uhamisho kabla ya dirisha la kiangazi.

Timu ya Paris St-Germain ya Ufaransa wameamua kupiga breki nia yao ya kutaka kumnunua mshambulliaji wa Manchester United, Marcus Rashford huku mipango yao ikiwa ni kufuatilia malengo mengine ya uhamisho kabla ya dirisha la kiangazi. Wakati huohuo timu ya Manchester United yenyewe haitarajii kama kuna klabu yoyote itaweza kufikia thamani ya £70m ya mshambuliaji wao huyo Marcus Rashford msimu huu wa joto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live