Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG wakazia usajili wa Diaby

Bayer 04 Leverkusen V Hertha Bsc Bundesliga Scaled Moussa Diaby

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya PSG inavutiwa na mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Moussa Diaby kwa ajili ya kumsajili wakati ujao wa usajili.

Vilabu kadhaa vya Ligi kuu England na Ligi kuu ya Serie A pia vinamfuatilia kwa karibu nyota huyo raia wa Ufaransa.

Diaby aliuzwa na PSG Julai 2019 na sasa wanataka kumrudisha kwa mara nyingine katika kikosi chao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live