Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG kumkosa Neymar Kombe la Ligi Ufaransa

Neymar To Miss Ligue 1.jpeg Neymar amepata majeraha

Fri, 6 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya PSG Neymar Jr atakosekana katika mcheza ujao wa Kombe la Ufaransa kutokana na majeraha ambayo ameyapata mchezaji huyo.

Staa huyo anasumbuliwa na tatizo la enka tangu mchezo wa kwanza wa Kombe la Dunia dhidi ya timu ya taifa ya Serbia, Jeraha hilo limekua likimsumbua mpaka wakati huu na kumfanya kupata maumivu mara kwa mara.

Kocha wa klabu ya PSG amesema kua Neymar atakosekana katika mchezo ujao wa kombe la Ufaransa dhidi ya klabu ya Chateauroux, Na hiyo ni kutokana na mchezaji huyo kutokuonekana katika mazoezi ya klabu hiyo leo jana Alhamis.

Neymar ambaye alipata kadi mbili za njano katika mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu ya Ufaransa baada ya michuano ya kombe la dunia dhidi ya Strasbooug, Kadi ambazo zilimfanya akose mchezo wa ligi kuu dhidi ya klabu ya Lens ambao ndio mchezo wao kwanza kupoteza msimu huu.

Kocha wa klabu hiyo Christopher Galtier baada ya kutoa taarifa ya kukosekana kwa staa huyo katika mchezo unaofuta, Lakini pia ameeleza kua staa mwingine wa timu hiyo Lionel Messi ambaye amerejea mazoezini jana hatakuepo pia kwenye mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live