Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PSG: Kama mnamtaka Mbappe, mtupatie hawa watano

Vinicius Et Mbappe Deux PSG: Kama mnamtaka Mbappe, mtupatie hawa watano

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Soka ya Paris Saint-Germain (PSG) imetoa orodha ya wachezaji watano kutoka Real Madrid ambao watatumika kama sehemu ya kukamilisha dili la mshambuliaji Kylian Mbappé kutua Klabuni hapo.

Kwa muda mrefu, Mbappe (24) amekuwa katika mawindo na miamba hiyo ya Santiago Bernabeu ambapo kwa sasa amegoma kuongeza mkataba na PSG akitaka amalizie mkataba wake wa sasa ili aondoke akiwa mchezaji huru.

Wachezaji hao ni;

Vinícius José Paixão de Oliveira Júnior (Vinícius Jr)

Rodrygo Silva de Goes (Rodrygo)

Aurélien Tchouaméni.

Eduardo Camvinga.

Federico Valverde.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: