Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Young Africans yaanza mazoezi Tunisia

KOCHA NABI TUNISIA PICHA: Young Africans yaanza mazoezi Tunisia

Thu, 9 Feb 2023 Chanzo: Dar24

Kikosi cha Young Africans rasmi kimeanza mazoezi nchini Tunisia, baada ya kuwasili mjini Tunis jana Jumatano (Februari 08), kikitokea Dar es salaam-Tanzania.

Kurasa za Mitandao ya Kijamii za Young Africans zimethibitisha taarifa za kuanza kwa maandalizi ya kikosi cha klabu hiyo, kwa kuweka picha za Wachezaji wakiwa Uwanja wa mazoezi.

Picha za mazoezi ya wachezaji ya Young Africans imeambatana na ujumbe unaosomeka: “Tumeanza mazoezi rasmi kuelekea mchezo wetu wa kwanza #cafconfederationcup ugenini dhidi ya US Monastir Jumapili.”

Chanzo: Dar24