Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Simba walivyotua Dar, kuwavaa Mbeya City kesho

Simba 1 Safi PICHA: Simba walivyotua Dar, kuwavaa Mbeya City kesho

Tue, 17 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC wamerejea nchini jioni hii Januari 17, 2023 wakitokea Falme za Kiarabu-Dubai ambapo waliweka kambi kwa takribani siku 8.

Simba wamewasili wakiwa na Kocha Mkuu Mpya Roberto Oliviera 'Robertinho' ambaye ataanza kibarua chake rasmi kesho kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa dhidi ya Mbeya City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live