Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 5: Yanga yagawa kadi za Kielektroniki Bungeni

Yanga Bunge 2.jpeg Yanga yagawa kadi za Kielektronic Bungeni

Fri, 18 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson akikabidhi kadi ya Uanachama ya Kielektroniki kwa Wabunge katika hafla ya uzinduzi wa kadi mpya za uanachama za Yanga leo Dodoma.

“Hizi klabu zinachokifanya ni kuwaleta watu pamoja na kuwaunganisha watu wa kila namna, makabila yote, Dini zote na mnavyoleta watu wengi mnatusaidia sisi viongozi maana kwenye jamii kunakuwa na Amani, nawatakia kila la kheri katika zoezi hili.” Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson.







Chanzo: www.tanzaniaweb.live