Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 5: Kikosi cha Yanga chawasili Dar, hasira kwa Simba Septemba 25

Yanga Yawasili 5 Msafara wa Kikosi cha Yanga umefika salama Jijini Dar ukitokea nchini Nigeria

Mon, 20 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Dar es Salaam Young Africans (Yanga) kimewasili salama katika uwanja wa ndege wa JNIA Dar es Salaam wakitokea Nigeria walipokwenda kucheza mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali.

Yanga wamepoteza mechi zote mbili kwa jumla ya magoli 2-0, na wametolewa rasmi katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa msimu huu na hivyo Tanzania imebaki na wawakikilshi watatu ambao ni Simba SC, aliepo Ligi ya mabingwa Afrika, Azam FC na Biashara United ambao wote wapo Kombe la Shirikisho na wamefanikiwa kusonga mbele baada ya kushinda michezo yao.

Yanga imewasili asubuhi hii na moja kwa moja wanajipanga kwa ajili ya mchezo dhidi ya Simba Septemba 25.







Chanzo: www.tanzaniaweb.live