Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 4: Tazama Xavi akiwaaga wachezaji wa Al-Sadd kwenda kujiunga na Barca

Xavi Pic Data Xavi Hernandez

Fri, 5 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa zamani wa Barcelona Xavi Hernandez anasafiri kuelekea nchini Hispania kwenda kuchukua jukumu la kukinoa kikosi cha Barcelona.

Barca ambayo imeamua kuachana na kocha wao Ronald Koeman wiki iliyopita alikua kwenye mazungumzo ya kukabidhiwa kikosi hicho na amekubaliana na majukumu hayo.

Xavi ambae alikua anakinoa kikosi cha Al-Sadd ya nchini Qatar, anakwenda Barcelona huku ikiwa haijawekwa wazi atapewa kandarasi ya muda gani.





Chanzo: www.tanzaniaweb.live