Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 4: Siku ya kwanza mazoezini kocha mpya wa Simba

Training 1 Pablo Franco Martin

Fri, 12 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mpya wa wekundu wa Msimbazi Simba SC, Pablo Franco Martin ameanza rasmi majukumu ndani ya klabu hiyo.

Pablo ameonekana akiwaelekeza wachezaji wawe makini katika suala zima la pasi ambapo ameonekana kulizingatia kwa kiasi kikubwa.





Chanzo: www.tanzaniaweb.live