Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 4: Kikosi cha Yanga Chawasili Salama Dar, wakusanya alama 6 ugenini

FJuX8B0XMAsXnRZ Kikosi cha Yanga kilipokua Jijini Arusha kabla ya mchezo wake na Polisi Tz

Mon, 24 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Dar Young Africans (Yanga) wamewasili salama salimini Jijini Dar kutokea Jijini Arusha.

Kwa takribani wiki mbili Yanga walikua Mikoani Tanga na Arusha kwa ajili ya michezo yao dhidi ya Coastal Union na Polisi Tanzania.

Katika michezo yote hiyo miwili ya ugenini, Yanga wameibuka na ushindi na kujikusanyia alama sita.

Tazama picha hapa chini kikosi hicho kikiwasili;





Chanzo: www.tanzaniaweb.live