Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PEPE: Sitastaafu Soka mpaka Ronaldo astaafu

Pepe With Ronaldooo PEPE: Sitastaafu Soka mpaka Ronaldo astaafu

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pepe amesema hana mpango wa kustaafu soka mpaka Ronaldo atakapotangaza kustaafu ,amesisitiza kuwa kuwa hayo ni makubaliano ambayo wawili hao walikubaliana

Pepe amesema hana mpango wa kustaafu soka mpaka Ronaldo atakapotangaza kustaafu ,amesisitiza kuwa kuwa hayo ni makubaliano ambayo wawili hao walikubaliana “ Sina mpango wa kustaafu soka endapo Ronaldo anaendelea kucheza, ninapenda kuendelea kucheza pamoja nae mpaka pale atakapotangaza kustaafu ndio na Mimi nitastaafu rasmi,hii ni ahadi tuliiweka kwa pamoja Mimi na yeye.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live