Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Osimhen kuwakosa Afrika Kusini, Benin kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia

Victor Osimhen Nigeria Victor Osimhen

Fri, 31 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji bora wa Afrika, Mnigeria Victor Osimhen ameondolewa kwenye mechi zijazo za kufuzu kwa kombe la Dunia la FIFA 2026 dhidi ya Bafana Bafana ya Afrika Kusini na Cheetahs ya Jamhuri ya Benin.

Osimhen ni majeruhi na atakaa nje kwa wiki 4 na hatapatikana katika mechi mbili za Super Eagles.

Kwa upande mwingine Kocha Finidi George amemwita beki wa kushoto wa Enugu Rangers, Kenneth Igboke kwa mechi hizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live