Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Osimhen ajifunga Napoli

Victor Osimhen.jpeg Victor Osimhen

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa Napoli, Victor Osimhen amekubali kuongeza mkataba wake Napoli kwa miezi 12 hadi 2026.

Straika wa Napoli, Victor Osimhen amekubali kuongeza mkataba wake Napoli kwa miezi 12 hadi 2026. Mkataba huo mpya una kipengele cha kutolewa chenye thamani ya takriban £112m. Ina maana Itakuwa Vigumu kuondoka Januari, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live