Mshambuliaji wa Klabu ya Napoli raia wa Nigeria Victor Osimhen amefuta picha na video zote za Napoli kwenye page yake ya Instagram hii ni kutokana na video ya TikTok iliyopostiwa na Napoli ikionesha kumdhihaki baada ya kukosa penati kwenye mchezo wa juzi uliomalizika (0-0) dhidi ya Bologna.
Mshambuliaji wa Klabu ya Napoli raia wa Nigeria Victor Osimhen amefuta picha na video zote za Napoli kwenye page yake ya Instagram hii ni kutokana na video ya TikTok iliyopostiwa na Napoli ikionesha kumdhihaki baada ya kukosa penati kwenye mchezo wa juzi uliomalizika (0-0) dhidi ya Bologna. Huenda mshambuliaji huyo akaondoka katika dirisha la usajili wa majira ya baridi ikiwa hili halitatatuliwa.