Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Oscar Oscar: Yanga wamepiga tu hatua hawajafanikiwa (+Video)

Oscar Oscar Yanga Oscar Oscar: Yanga wamepiga tu hatua hawajafanikiwa

Tue, 6 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakiendelea kupokea Pongezi kutoka kila kona baada ya kufanikiwa kuibuka mshindi wa pili katika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika huku ikionekana kama ni jambo kubwa kwa Taifa kutokana na kiwango bora kilichooneshwa na Timu hiyo katika Michuano hiyo.

Kwa Mchambuzi wa Soka Oscar Oscar kutoka Wasafi FM mambo ni tofauti na wengine wanavyodhani.

Oscar Oscar yeye pia hakuacha kuona jambo kubwa lililofanywa na Yanga na kuwapa staki zao lakini ameenda mbali na kudai kuwa Yanga kufika Hatua ya Fainali ya Kombe la CAF na kukosa Ubingwa isionekane kuwa ni mafanikio bali ni hatua kubwa kuelekea mafanikio.

Akizungumza Oscar anasema;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: