Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Oscar Oscar: Wachezaji wa Yanga hawajui kupiga penati (+Video)

Ally X Oscar Oscar Oscar Oscar: Wachezaji wa Yanga hawajui kupiga penati

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wengi wakiendelea kulalamikia kitendo cha Mlinda mlango wa Kipa kufanya makosa ya kutoka wakati wa kupiga mikwaju ya Penati ya Fainali ya Ngao ya Jamii Jijini Tanga 2023.

Mchambuzi wa Michezo Oscar Oscar amegeuza kibao na kuwapa Yanga ukweli mchungu kuhusu uwezo wa kupiga penati wa wachezaji wake.

Msikilize Oscar Oscar kwenye Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: