Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Orodha ya mastaa ambao Chelsea wamewauza msimu huu

N'Golo Kante Akubali Kujiunga Na Mabingwa Wa Saudia Al Ittihad Ng'olo Kante

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imeweza kuruhusu wachezaji sita hadi hivi sasa kutohudumu kwenye msimu ujao wa 2023/24 ndani ya kikosi chake ambapo wachezaji hao wameelekea katika vilabu mbalimbali.

Hawa ndio wachezaji waliouzwa na klabu ya Chelsea kuelekea vilabu tofauti tofauti ambapo wachezaji wengine wameondoka wakiwa wachezaji huru na wengine klabu imewauza.

▫️ Ng'olo Kante

▫️ Hakim Ziyech

▫️ Mateo Kovacic

▫️ Kai Havertz

▫️ Eduardo Mendy

▫️ Kalidou Koulibaly.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: