Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Orlando waipa mzuka Yanga iwabomoe Kaizer

Yanga Dube Maxi Aucho Orlando waipa mzuka Yanga iwabomoe Kaizer

Thu, 25 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Orlando Pirates wamewaomba Young Africans SC wasiwaangushe tarehe 28 kwani wanawategemea sana na wameahidi kuwapa support ili waifunge tu Keizer Chiefs.

Orlando Pirates na Keizer Chiefs ni watani wa jadi hivo huombeana Kila mmoja mabaya yaani kikubwa mmoja afungwe ndo iwe furaha Zaidi,

Young Africans SC na Keizer Chiefs watacheza mchezo wa Toyota Cup jumapili ijao tarehe 28.

Kikubwa Mashabiki wa Orlando Pirates wanaiombea Young Africans SC imfunge Keizer Chiefs wachukue Kombe ili Mahasimu wao walikose kabisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live