Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Orlando Pirates yainyuka Sevilla ya Hispania huko huko kwao

Orlando Vs Sevilla Orlando Pirates yainyuka Sevilla ya Hispania huko huko kwao

Tue, 16 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo imeitandika Sevilla Fc ya Laliga jumla ya magoli 2-0 kwenye mchezo wa kirafiki katika dimba la Estadio Jesus Navas huko, Sevilla Uhispania

FT: Sevilla 0-2 Orlando Pirates

⚽️ Miguel Timm 21’

⚽️ Kabelo Dlamini 81’.



Inaweza kuwa mechi ya kirafiki tu lakini Pirates kufunga magoli mawili kwa nunge dhidi ya klabu inayoshiriki Laliga kwenye ardi ya Uhispania sio jambo la mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live