Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Orlando Pirates mabingwa wa MTN Cup, Mamelodi chali

Mamelodi Orlando(16).jpeg Orlando Pirates mabingwa wa MTN Cup, Mamelodi chali

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini imetwaa ubingwa wa kombe la MTN 8 2023 kufuatia ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns kwenye mchezo wa fainali uliopigwa katika dimba la Moses Mabhida, Durban.

FT: Orlando Pirate 0-0 Mamelodi Sundowns (Penalty Kick 3-1)

Pirates ambao walikuwa Mabingwa watetezi wamefanikiwa kulitetea kombe lao mbele ya Masandawana na wanatwaa kombe hilo kwa mara ya 12 kihistoria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live