Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Onyango atupia Ihefu ikiichapa KMC Liti Singida

Onyango Atupia Onyango atupia Ihefu ikiichapa KMC Liti Singida

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la beki Mkenya, Joash Onyango dakika ya 20 limeipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC jana Jumanne Uwanja wa LITI mjini Singida.

Bao la beki Mkenya, Joash Onyango dakika ya 20 limeipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC jana Jumanne Uwanja wa LITI mjini Singida. Kwa ushindi huo, Ihefu SC inafikisha pointi 23 katika mchezo wa 19 na kusogea nafasi ya saba, wakati KMC inabaki na pointi zake 25 za mechi 20 nafasi ya tano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live