Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Onana sio mchezaji mbaya - Mchambuzi

Onana Simba 505 1140x640.png Onana sio mchezaji mbaya - Mchambuzi

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Willy Onana siyo mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri aliyekosa maelekezo ya mwalimu mkali na uimara wake mguuni.

Chini ya Matola na kocha mkuu pamoja na kocha wa viungo watakao kuja wapya onana anaweza kubadilikaje? Hili ndiyo swali litakalo amua abaki au asepe maana makosa yake ni madogo sana kama yakirekebishika.

Kuna wachezaji wengi tu walipaswa kubadilika haraka sana kama wangelimpata kocha mzuri Miquissone, Moses Phir kiwango chake si kile alikuwaga nacho chini ya mgunda so hopes pengine wanaweza kuja makocha wengine Onana akawa bonge la mchezaji tusubiri mbinu za walimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live