Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Onana mtu na nusu EPL, Wengi wanasubiri

Andre Onana Miss 7 Andre Onana

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpaka sasa katika msimu huu wa 2023/24 Andre Onana ndiye kipa pekee hajafungwa goli na Liverpool katika Uwanja wa Anfield.

Kamzidi kipa wa Liverpool Allison Becker kutoruhusu wavu wake kutikiswa mara nyingi ' Clean sheets'.

Onana hajafungwa goli katika michezo 8 ya Ligi wakati Allison hajafungwa goli michezo 7.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live