Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Onana kupigwa benchi dhidi ya Gambia leo

Onana Sdgv Golikipa wa Cameroon, Andre Onana

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali kutoka nchini Cameroon zinaeleza kuwa huenda mlinda lango wa klabu ya Manchester United na timu ya Taifa ya Cameroon Andre Onana asiwe sehemu ya kikosi kitakachoshuka dimbani leo dhidi ya Guinea.

Onana amewasili Kambini leo baada ya jana Januari 14 kucheza mchezo wa Ligi Kuu England akiwa na Man United.

Michuano ya AFCON mwaka huu imeshangaza wengi sana hasa matokeo ya timu kubwa. Guinea ilimpiga Nigeria (2-0) kwenye mechi ya kujiandaa na AFCON leo atakutana na Cameroon nini kitajiri

Chanzo: www.tanzaniaweb.live