Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Onana aonekana jukwaani Simba ikimuua Geita 1-0

Onana Aonekana Jukwaani Simba Ikimuua Geita 1 0 Onana aonekana jukwaani Simba ikimuua Geita 1-0

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga Mcameroon, Willy Esomba Onana ameonekna jukwaani akiwa na wachezaji wenzake wanne, Salehe Karabaka, Hussein Abel, Edwin Barua na Ladack Chasam-bi wa Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold Uwanja wa CCM kirumba, Mwanza.

Onana hakuonekana kwenye mechi tatu za Ligi Kuu dhidi ya Mashujaa, Tabora United na Azam FC kutokana na majeraha madogo.

Geita Gold, Simba hadi sasa hakuna mbabe dakika ya 40 CCM Kirumba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live